Na Gerald Kitalima
wanamuziki Nuhu Mziwanda
ambae ni mchumba wa mwanamuziki Shilole (Shishi baby) ameomba radhi
jana kupitia
ukurasa wake wa Intragram baada ya kupost picha ambayo
inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa
wakioga,picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi.Kwa mujibu
wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa
ajiri ya video yake mpya ya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka.
Baada ya juzi usiku Nuhu
mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa wake mashabiki zake
walionyesha kutofurahishwa na kitendo hicho na wengihne kufikia hatua
ya kutukana huku wengine wakidai kuwa amemdharirisha mpenzi wake huyo
ambae ni mama wa watoto wawili.lakini baada ya hapo Nuhu aliifuta
picha hiyo alipogundua hali ya upepo imekuwa tofauti na vile ambavyo
yeye alidhania.
Anapenda mwenyewe
kuzalilishwa huyo @shilolekiuno kwani ni picha yake ya kwanza???? ...
nawapenda lakini wameniuziii toka wapost ule ujinga,na kujisahaulisha
kama wee ni mama wa mabinti wakubwa tu sijui wanajifunza nini wakiona
hizo picha..."Kapost mpenz wake yuko maziwa wazi yale sio
mapenzi unaitwa uzalilishaji Wa wanawake Hao ni baadhi ya mashabiki
waliotoa yao ya moyoni baada ya kuiona ile picha ya Nuhu wakiwa
pamoja na Shilole.
"Naomba niombe radhi kwa
waliochukizwa na picha niliopost usiku wa jana.Lakini naweza sema pia
ile ilikuwa ni video yangu mpya ya wimbo wangu wa Zimataa.So ilikuwa
ni promotion picture.Ila mwisho wa maneno yangu ni kuomba radhi kwa
lililotokea."
Hata baada ya kuomba radhi
hali ya mashabiki bado ilikuwa ileile ni watu walionyesha kukerwa na
kitendo kile bado waliendelea kutukana na kusababisha hata post ya
kuomba radhi pia kuifuta katika Account yake hiyo ya Instragram..
0 comments:
Post a Comment