Aliekuwa
kipa namba moja wa Club ya Wekundu wa msimbazi Juma Kaseja amebakiza
siku zake tatu....!
kuondoka katika Ardhi ya Tanzania na kuelekea Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kusaini mkataba mpya wa kuichezea
klabu ya FC Lupopo inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo.
Balanga
alisema kuwa wakifika Kongo wanatarajia kumpa mkataba wa miaka miwili
ambapo atapewa dola za Marekani 30,000 (Sh. milioni 50) na mshahara
wa kila mwezi wa dola za Marekani 2,000 (Sh. Milioni 3.14).
Mbali
na mshahara huo lakini Juma amehakikishiwa kuwa atakuwa Chaguo la
kwanza katika katika klub hiyo .
0 comments:
Post a Comment