na Mandela amepania kuwatoa kisanii wakali hao ambao wamekwisha anza mchongo wa kurecods Ngoma Moja moja kwa kila mtu ndani ya Studio za Burn Records pande za Tabata.
“Mimi na wasanii wa Epiq Bongo Star Search Emanueli na Mandela katika Studio ya Burn Record tukifanya yetu”Alifunguka Sheddy
Kwa
wale ambao wanamtambua Sheddy Clever inajulikana kuwa ni mkali wa
kutengeneza Ngoma za kuimba imba ambapo katika siku za karibuni
alitengeneza Ngoma ya My Number 1 ya Diamond Platnum na Remix ya
ngoma hiyo aliyopowe shavu Davido kutoka Nigeria.







0 comments:
Post a Comment