Baadhi
ya watanzania wanaopata nafasi ya kwenda nje ya Nchi kwa mialiko au
Kufanya jambo fulani inasemekana wanapofika huko hushindwa kufanya
mambo
ya msingi ya maendeleo lakini wao kazi yao kupiga Mapicha kama
Wehu ili kudhibitishia jamii kuwa walikuwepo huko.
Akitiririka
hilo Msanii wa Bongo Movie Batuli ambaye kwa sasa amekuwa na mlengo
Tofauti na wasaniii wengine wengi wa Bongo Movie katika maisha yao
kilasiku kutokana na mtazamo wake wa maisha na msimamo wake
kiutendaji.
“Tabia
ya kwenda nchi za wenzetu na kupiga mapicha kama wehu sidhani kama ni
maendeleo, Watanzania mnaopata mialiko fanyeni mambo ya maana.”







0 comments:
Post a Comment