Msanii
wa filamu kutoka mkoani Geita Suleiman Mayunga yupo jikoni kupika
Movie mpya ambayo itakuwa sokoni muda si mrefu inayokwenda kwa jina
la
Sugar Cane.
Akifunguka
na Mpitanjia Mayunga amesema kuwa katika Movie hiyo ambayo
amempashavu msanii mwenzake kutoka Geita Peter Phinias ambae
anafahamika kama “Kanumba” kutokana na ufanano wake na marehemu
Kanumba.
Mayunga
amesema kuwa lengo la Sugar Cane ni kutoa Elimu kwa wapenzi namna
ambavyo wanaweza kusameana kwa haraka pindi wanapokoseana au
kutofautiana kwa namna yoyote ile.
“Usiweke
uficho katika mapenzi hasa kwa mwenzi wako kwani ya weza leta madhara
makubwa kati yenu”
Usichelewe
au kujishauli kwa mda mrefu kusamehe hasa kwa mwenzi wako, speed and
accurate inatakiwa saaana kutumika baina yenu.MWAMBIE MPENZI WAKO
UMEMUSAMEHE KWA YOTE ALIYOKUKOSEA HARAKA NA KWA MOYO WAKO
WOTE............''SUGARCANE''
0 comments:
Post a Comment