Monday, April 13, 2015

Mpenzi wangu hakupendezwa picha yangu na Nay wa Mitego-Dayna Nyange

Na Gerald Kitalima

NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange ambae anauwakilisha mkoa wa Morogoro katika tasnia ya muziki amefunguka na kusema kuwa picha alizopiga na Nay wa Mitego zimemkwaza mpenzi wake,Dayna alisema haya alipokuwa
akihojiwa katika kipindi kimoja cha Radio (XXL cha Clouds Fm).

Wema Sepetu afunguka ya moyoni kuhusu kutopata ujauzito

Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi
ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u

Nimeshindwa kuwa Rubani sababu ya filamu-Irene Uwoya


Na Gerald Kitalima

Mwigizaji katika tasnia ya filamu Tanzania Irene Uwoya amesema kuwa filamu zimeharibu mipango yake ya miaka mingi ya kutaka kuwa mwongozaji wa ndege yaani Rubani,Irene

alisema hayo weekend hii kupitia kituo cha Radio cha East Africa Radio.

Tuesday, March 10, 2015

HASIRA ZA MASHABIKI ZINANIPA NGUVU-RAMA DEE

Na Gerald Kitalima
Rama Dee amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook alipodai kuwa mashabiki na upungufu wa muziki wa RnB Tanzania ndicho kilichomsukuma
kufanya kazi hiyo.

LADY JAYDEE AZUSHIWA MIMBA

Na Gerald Kitalima


Mwanamuziki nguli wa kike hapa Tanzania Lady Jaydee ambae kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Forever amefunguka na kuonyesha kukerwa na kitendo cha