Mzee
mmoja mwenye Umri wa Miaka 70 ameshirkiliwa na Polisi Mkoani Tanga
baada ya kufunga Ndoa na Mtoto wa miaka 14 huko mjini Tanga,kwa
mujibu wa
Polisi Mkoni Tanga wamesema kuwa walifanikiwa kumkamata
Mtuhumiwa huyo siku hiyo hiyo ya Harusi November 10 mwaka huu majira
Mchana.
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Tanga, Constantine Massawe, alisema pamoja na Bwana
harusi huyo pia Polisi wanamshikilia mama mzazi wa binti huyo,kwa
mujibu wa Kamanda alidai kuwa walipofanya mahojiano na Wanandoa hao
walibaaini kuwa ni Ndugu na walikiri kama kweli walifunga ndoa hiyo
siku hiyo mchana.
“Sasa
ili tupate uhakika kama mtu huyu pia hajamwingilia binti huyo
uchunguzi wa madaktari unaendelea na ikiwa ni alimwingilia ina mwa
aana kesi ya kubaka itamkabili,” alifafanua kamanda huyo.







0 comments:
Post a Comment