Tuesday, November 12, 2013

HAKUNA WASAMARIA WEMA AU WAJOMBA KWENYE MAHUASIANO-MAKAMBA

Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh Januari Makamba amefuguka kupitia Ukurasa wake wa Facebook na kusema
kuwa siku zote huwa hakuna wasamaria wema au wajomba kwenye mahusiano kati ya Taifa moja na Jingine.
Hakuna wasamaria wema au "wajomba" (kama Mwalimu Nyerere alivyosema) kwenye mahusiano kati ya taifa moja na mataifa mengine. Kila Taifa lina wajibu wa kujitafutia ustawi wake na watu wake lenyewe, na ushirikiano na mataifa mengine unafanyika tu pale ambapo una tija kwa mataifa yote yaliyo katika uhusiano husika.”


0 comments:

Post a Comment