Monday, July 8, 2013

PICHA KUMI MATUKIO MBALIMBALI SIKU YA USIKU WA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA

RAIS JAKAYA KIKWETWE AKIWA NA ERICK SHIGONGO


MIRRAD AYO AKIWA NA D ANDY WAKIPOST LIVE TOKA UWANJANI
ERRICK SHIGONGO MUANDAAJI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI

REFA WA MCHEZO BHANAA BABA NANIIIII?

DIAMOND PLATNUM AKIWA NA WASAFI CLASSIC

ETIII NA HAWA WALIKUWEPO MIMI NAW3AJUWA KAMA WAIGIZAJI WAREMBO WA MOVIE MBONA KINGUMI NGUMI KIMAVAZI

GODWIN GONDWE NDIE ALIEKUWA MC WA TAMASHA HILO AKIFANYA YAKE KWA MTAJI WA SAUTI YAKE

HAWA SI NDIO WALEEEEEEEEEE WALIPIGWA TANO MTUNGIIIII NA ILE TIMU ILEEEEE HATA JANA PIA WAMECHEZEA GORI.

MABINGWA WENYEWE NDIOOOO HAO SASA JAPO JANA WAMEPIGWA MBILI HUKO SHINYANGA LAKINI WABUNGE WALIONESHA UWEZOOOO CHEZEAAA NYANG'AU UTALAL NA NJAAA

0 comments:

Post a Comment