Baada ya watu
wawili kuaga mashindano hayo siku ya Jana Fatima na Hakeem leo
mshiriki kutoka Kenya Annabel amechaguliwa kwa ajiri ya kutolewa
katika jumba hilo pamoja na Cleo ambae
amepata kura 6 akimzidi kura 2
Annabel.
Baada ya
kuchaguliwa kuingia katika kikaango hicho aliekuwa mshiriki wa BBA The
chase Huddah kutoka pande za kenya amemfungukia na kumchacharukia
Mtanzania Fezza Kessy kwakuwa nae amempigia kura ya kutoka mkenya
huyo.
Mkenya huyo ambae
nae alitoka katika shindano hilo amefanananisha kitendo alichokifanya
Fezza ni sawa na kukumbuka nyumbani akiamini kuwa huenda watampigia
kura au kikamshusha na kusababisha kutolewa katika jumba hilo.
“I was shocked
with Feza's decision I guess she misses home"
0 comments:
Post a Comment