Imeelezwa kuwa kwa
wale wanawake ambao ni wajawazito na wanatumia Pombe kuwa matumizi ya
pombe kipindi unaujauzito unahatarisha ukuaji wa mtoto utakae zaa na
kusababisha matatizo ya ulemavu,kushindwa kukuwa kwa
wakati,kuharibika kwa ubongo na hata matatizo ya figo,ulemavu wa
kusikia na kuona na utendaji mbovu wa mfumo wa Neva.
Ushauri huo
umetolewa na Meneja Uajiri(Masoko na Mauzo) wa Kampuni ya TBL Kissa
Mwasomola
mwanamke mwenye
ujauzito ni bora akaacha kabisa kutumia pombe ili kumuepusha mtoto
atakayezaliwa kuathirika kiakili,alidai kuwa hakuna kiasi maalum cha
pombe kinachoruhusiwa kwa mjamzito kukitumia ambacho akitaadhuru
ukuaji wa Mtoto atakae zaliwa.
0 comments:
Post a Comment