Friday, May 24, 2013

PICHA NIYONZIMA AKISAINI MKATABA YANGA LEO


ULE UTATA KUWA KIUNGO MCHEZESHAJI ANAKWENDA SIMBA UMEFIKA MWISHO BAADA YA KIUNGO HUYO KUSAINI MKATABA HUO WA MIAKA MIWILI NA TIMU YAKE YA YANGA

0 comments:

Post a Comment