Katika
shindano la Bog Brother Africa kwa mwaka huu 2013 lililoanza rasmi
May 26 Nchini South Africa watanzania wawili wanatuwakilisha katika
jUmba hilo ambao ni Feza Kessy na Nando.
Kwa
upande wa Feza Kess ni msanii wa muziki wa bongo fleva aliewahi kuwa
chini ya Kampuni ya AY Unity Entertainment na ameshawahi shiriki
mashindano ya Miss Tanzania wakati Nando ki makazi alikuwa akiishi
nchini Marekani na alisafiri kutoka Marekani na kuja Tanzania kwa
ajiri ya Audition ya Shindano la Big Brother Africa.
0 comments:
Post a Comment