Sunday, May 26, 2013

TRENI LAGONGANGANA NA GARI NA KUUWA DAR


Treni la Abiria limegongana na gari aina ya Rav 4 maeneo ya Ukonga Moshi Bar na kusababisha kifo cha Dereva wa gari hiyo huku abiria akiwa katika hali mbaya.







0 comments:

Post a Comment