Thursday, May 9, 2013

MWAKILISHI WA TANZANIA BIG BROTHER AFRICA 2013 NI SIRI

Mwakilishi wa Tz katika ile reality Tv show inayofahamika sana Barani Africa BIG BROTHER inayotalajiwa kuanza tarehe 25 mwezi huu wa tano mpaka sasa hajafahamika na amefanywa siri.



akitoa taarifa hiyo Afisa uhusiano wa Multi Choice Tanzania Babra Kambogi ameema kuwa mwakilishi kutoka Tanzania ni siri kubwa na siri hiyo itakuja kufichuka siku ya tarehe 25 mwezi huu wakati reality show hiyo itapokuwa akianza na watu watajionea live na kumuona mshiriki wa Tanzania.



lakini kuna tetesi zilizozozagaa mitaani kuwa kijana aliekuwa mtangazaji wa Tv moja hapa mjini Romeo Rommy Jones kuwa ndie atakkae wakilisha Tanzania katika Reality Show hiyo itakayoanza siku ya Jumamosi ya Tarehe 25 mwezi wa 5 mjini South Africa.

0 comments:

Post a Comment