Thursday, May 9, 2013

SWAGAA ZA DIAMOND ZINAZOWAPOTEZA MADADA"MWENDO WA KULINGA LINGA"

HII NI MOJA YA SHOW ALIYOFANYA DIAMOND PLATNUM KATIKA TOUR YAKE KATIKA SHOW HII WATOTO WA KIKE WALIJITOA UFAHAMU NA KUFANYA YAO BILA KUJALI IKIWA NI SEHEMU YA KULA BATA NDEFUUUU.

KWAKUWA KIJANA YUKO KAZINI NAE ALIWAPAGAWISHA KWA MWENDO WA KULINGA LINGA NA WAKANASA PIA TAZAMA SWAGA ZAKE DIMOND ZINAZOWAPAGAWISHA MADADA HUKO NCHI YA MBALIIIIII.




0 comments:

Post a Comment