Wednesday, December 11, 2013

HUYU NDIYEMCHEZAJI WA MANCHESTER UNITED ANAYETUA TANZANIA LEO

Kwa jina anaitwa Andy Cole ni Mchezahi wa zamani wa Klabu ya Manchester United ambaye anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam
kesho, kuwakabidhi vifaa vya mazoezi wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17.

Mbali na kukabidhi vifaa hivyo, pia ziara ya Cole nchini inalenga kuwapatia uzoefu washindi wa tiketi za promosheni ya Airtel ya 'Mimi ni Bingwa' ambao watasafiri kwenda kuangalia mechi za Klabu ya Manchester United moja kwa moja 'laivu' katika Uwanja wa Old Trafford.

0 comments:

Post a Comment