Siku
zote Ugonjwa ni ugonjwa kwani unamfanya mtu kukosa raha na wakati
mwingine kumfanya apate mateso kutokana na namna ugonjwa huo
unavyomtesa.
Imekuwa
tofauti kidogo kwa Mwanadada Ladyjaydee ambaye amepost Picha akiwa
amelazwa Hospitali huku akiwa busy mwenyewe na kuchat na kutoa Dodoso
kwa mashabiki wake kwa kuwauliza maswali kadhaa ambayo pengine ndiyo
yamemsukuma kufanya hicho anachokifanya .
Unamuongeleaje
mgonjwa JayDee na simu hospitalini tena kitandani?? Je! anatoa
taarifa kwa ndugu na jamaa au anawasanifu wauguzi?? Wewe ukilazwa
huwa una chat??
0 comments:
Post a Comment