Yakiwa
yamebakia masaa takribani kumi hivi pale watapokutana Manchester
United na Aston Villa katika Uwanja wa Old Trafford usiku wa leo
swali
linabakia pale pale kuwa je Manchester United ataweza kumgalagaza
Aston Villa na kuchukua kikombe hicho Usiku wa leo?
Hapo
majibu sina kwa kuwa mimi si mtabiri wa michezo hivyo niwaache
mashabiki wa Manchester United ukiendelea kuomba Dua ili muweze
kutwaa Ubingwa katika mashindano hayo lakini vilevile Mashabiki wa
Aston Villa mkiendelea kuimboa Timu yenu kumchachafya Manchester
United na kumuwekea ngumu dhidi ya Ubingwa wa kikombe cha Baclays
Premier League .
UNAWEZA
KUTABIRI TIMU YAKO ITASHINDA KWA GORI NGAPI DHIDI YA MPINZANI WAKE
0 comments:
Post a Comment