Akitangaza nafasi hiyo wakati wa kipindi cha Kali za
Bomba kinachorushwa hewani Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 7 ya
mchana hadi saa 10 ya jioni, Meneja Mkuu wa Kituo hicho FREDY HELBERT
amesema licha ya ajira hiyo kutolewa kupitia mashindano bado vigezo
na taratibu za kazi zitazingatiwa.
Mshindi wa mashindano atapatikana kwa ushirikiano
mkubwa kati yake na wasilikilizaji ambao ndio watakuwa majaji wakuu……
VIGEZO vya
mshiriki:-
1. Awe na umri wa kuanzia m
1. Awe na umri wa kuanzia m
iaka
18.
2. Awe raia wa Tanzania.
3. Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha nne.
4. Awe hana mkataba wowote na kampuni yoyote ile.
5. Awe hajawahi kufungwa jela au kushitakiwa na kosa lolote.
6. Awe na akili timamu.
2. Awe raia wa Tanzania.
3. Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha nne.
4. Awe hana mkataba wowote na kampuni yoyote ile.
5. Awe hajawahi kufungwa jela au kushitakiwa na kosa lolote.
6. Awe na akili timamu.
Fomu ya
ushiriki ni shilingi 10,000/= tu ya Kitanzania.
Kwa
Waliopo nje ya Mbeya maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu ya
mkononi.+255764 240 440
source Francis Godwin
0 comments:
Post a Comment