![]() | |
SALMA KIKWETE,BI-KIDUDE,JAKAYA KIKWETE |
Raisi wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dr
Jakaya Mrisho Kikwete amefunguka juu ya kifo cha Bi kidude na kusema kuwa
alikuwa Mzalendo na mfano wa kuigwa katika matumizi ya sanaa yake ya uimbaji.
Nami bila ya hiyana nachukua kama
kilivyoandikwa katika ukurasa wake wa Facebook na kukupatia kama ifuatavyo
“Bibi Fatuma binti Baraka (Bi Kidude): Gwiji,
mzalendo na mfano wa kuigwa katika kutumia sanaa kuleta burudani, umoja na
mshikamano. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ampumzishe pema”.
Na mimi namalizia hiviiiiiii Aminahhhhh
0 comments:
Post a Comment