![]() |
KIKOSI CHA YANGA |
kikosi cha timu ya yanga kitashuka dimbani jumamosi hii hapa baada
ya kuichapa timu ya Kagera Sugar kwa bao 1-0 katika mchezo uliopita mwishoni wa
wiki ilee, timu ya Young Africans Sports Club itashuka dimbani kucheza
na timu ya Toto Africans kutoka jijini
Mwanza, mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
kuanzia majira ya saa 10 jioni.Toto African
watakuwa na mtihani mkubwa zidi ya Young African kutokana na kutofanya vyema
katika mzunguko huu wa pili wa ligi kuu,Toto African ipo nafasi ya 13 huku
ikiwa na points kumi na nne.
0 comments:
Post a Comment