![]() |
Wachezaji wa Azam FC wakiendelea na mazoezi leo asubuhi katika kiwanja cha Azam Chamazi. |
Katika mzunguko wa pili wa ligi kuu Bara unaoendelea Jumamosi hii Azam FC itashuka dimbani
na Polisi Morogoro katika viwanja vya Azam Complex,
Chamazi) Azam
inaingia dimbani ikiwa nafasi ya pili katika mzunguko wa ligi ikiwa nyuma
ya Young African huku Polisi morogoro
ikiwa katika nafasi ya kumi na mbili katika mzunguko wa ligi.
0 comments:
Post a Comment