Thursday, March 7, 2013

FAINALI ZA MISS UTALII JUMAMOSI HII

WAREMBO MISS UTALII 2013


Fainali za Taifa za kumpata Miss Utalii Tanzania 2012/13 Fainali za Taifa zitakazo fanyika Mwishoni mwa wiki  hii Jijini Dar es salaam.mshindi wa kwanza mpaka wa Tano watawakirisha Tanzania katika mashindano
mbalimbali ya utalii ya Dunia. Yakiwemo ya Miss Tourism World, International Miss Tourism World, Miss Tourism United Nation World , Miss Tourism university
World na Miss Heritage World. Yatakayo fanyika katika nchi mbalimbali kuanzia mwezi wa nne mwaka huu.

WASHIRIKI MISS UTALII 2013

fainali hizo zitafanyika Jumamosi Tar 9.03.2013 usiku katika ukumbi wa Dar Live

Mbagala.

0 comments:

Post a Comment