Walimu wote walioajiriwa na serikali mwaka huu walitakiwa
kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa kabla ya march 9 Mwalimu
ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.
WANAFUNZI WAKIPATA DARASA HII NI KOROGWE |
WALIMU WAPYA MNAO KWENDA KATIKA VITUO VYA KAZI HASA KATIKA MAENEO AMBAYO KIDOGO MIUNDO MBINU SI MIZURI SANA TUNAPASWA KUWEKA AKILI ZETU KATIKA UTAYARI WA KUPAMBANA NA MAZINGIRA HUSIKA KWA LENGO LA KUWASAIDIA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAKUBWA SANA YA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU.
0 comments:
Post a Comment