Dr. Wilbroad Slaa, amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio
ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya jumatano tarehe 13 Machi, 2013. Saa
saba mchana, saa za Amerika ya mashariki ( 1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili
usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time). Kumefanyika jitihada za
kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila
kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika.
0 comments:
Post a Comment