Mwandishi Gerald Kitalima
![]() |
WACHEZAJI WA AZAM FC WAKIWA NA KOCHA WAO |
KIKOSI CHA TIMU YA AZAM FC KESHO KINATARAJIA KUANZA SAFARI KUELEKEA NCHINI
LIBERIA KIKOSI CHA KWANZA KUANZA MSAFARA HUO KITAKUWA NI VIONGOZI WA TIMU HIYO
WANAOTANGULIA NCHINI LIBERIA ILI KUWEKA MAZINGIRA SAWA YA KUWAPOKEA WACHEZAJI
WAO WATAKAOFUATIWA KATIKA MSAFARA WA PILI.
AZAM WANATARAJIA KUCHEZA NA BARRACK YC LIBERIA SIKU YA JUMAPILI YA WIKI HII
LEO AZAM FC WALIKUA WAKIENDELEA NA MAZOEZI KATIKA VIWANJA VYA GYMKANA KWA
MAANDALIZI YA MCHEZO WA HATUA YA PILI KOMBE LA SHILIKISHO.
0 comments:
Post a Comment