Thursday, May 9, 2013
SHEKHE PONDA AFUNGWA MWAKA MMOJA KIFUNGO CHA NJE
2:56 AM
No comments
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam imemfunga kifungo cha nje cha Mwaka mmoja Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Shekhe Ponda Issa Ponda wakati washtakiwa wengine wote 49 Wameachiwa huru.
0 comments:
Post a Comment