Msanii
wa Bongo Fleva kutokea pande za Temeke CHEGE
Chigunda alimaarufu kama Mtoto wa Mama Saidi ambae anatamba na ngoma
yake ya TAKE AWAY leo anamvalisha pete ya Uchumba Mchumba wake wakiwa Nchini
Norway.
Hivi
kalibuni Chege na Ommy Dimpozi wapo Kikazi zaidi ughaibuni walipokwenda kufanya
Shows katika Viunga vya pande hizo hivyo mtu mzima Chege ameamua kutumia fursa
hiyo kumvisha pete mchumba wake huyo na kuweka wazi uhusiano wake,kitendo cha
kuvalishana pete kitaambatana na kijisherehe kitakachofanywa nchini Norway leo.
“Baada
ya muda mchache nitafanyiwa party ya kuagwa n kumvesha mchumbaangu pete,in Norway"

“Kila
kitu kimepangwa na mungu kubadili ni kazi sana”
0 comments:
Post a Comment