![]() | |
JUMA NATURE NA JAYDEE WAKIWA KATIKA STYLE YA ANAKONDA |
Msanii
mkongwe katika game ya bongo Fleva Juma Kassim kiloboto kutoka katika kundi la wanaume Halisi
ameungana na Mwanadada Lady jaydee katika show itakayofanywa siku ya Ijumaa ya
mwisho ya mwezi wa Tano katika Ukumbi wa Nyumbani Loungekatika kutimiza miaka
13 ya Kufanya muziki kwa mwanadada Lady Jaydee.
Mwanadada
Ladyjaydee ameweka wazi kuwa Juma Nature atakuwepo na kufanya show siku hiyo
mbali na Juma Nature na Wanaume Halisi pia atakuwepo mtu Mzima Profesa JAY
ambae yeye amekili kutumia nguvu zake zote,akli zake zote na hata uwezo wake
kuhakikisha kuwa Show inasimama siku hiyo.
0 comments:
Post a Comment