Mwanamuziki
Lady Jaydee Leo atajua hatima yake katika mahakama ya Kinondoni
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai dhidi yake na viongozi wa Radio wa
Redio ya Clouds Fm.
Wiki
kadhaa zilizopita mwadada huyo aliitwa mahakamani hapo na kuzuiliwa
kuzungumza jambo lolote lile kuhusiana na hao watu waliofungua kesi
dhidi yake na hakupaswa kuzungumzia jambo lolote lile juu ya Mgogoro
walionao mpaka siku ya leo mahakama itapo toa kauli yake juu ya jambo
hilo.
Kwa
mujibu wa Lady jaydee anatakiwa kufika Mahkama ya Kinondoni kuanzia
Mida ya saa Mbili na Nusu kwa ajiri ya kwenda kusikiliza nini
kinaendelea juu ya sakata hilo.
0 comments:
Post a Comment