Mwaka
huu katika tasnia ya burudani kumekuwa na matatizo ya vifo kama ambavyo
tumewapoteza ndugu zetu Ngwear na Langa Kileo katika wiki mbili tofauti hivyo
watu walipatwa na mshtiko sana hasa taarifa zilipotoka juu ya kifo cha Albert
Mangwear.
Jana
zilizagaa tetesi ambazo zilikuwa kizunguka kwa kasi kubwa sana kuwa mwanamuziki
Saida Karoli amefariki dunia baada ya kupata ajari katika ziwa Victoria,lakini
baada ya Jitihada mbalimbali za wanahabari wenye kujua kazi yao walimpata
mwanadada Saida Karolin a kupiga nae stori na kukanusha taarifa hiyo
iliyosambazwa kuwa amefariki kwa kupata ajari ya maji.
Saida
amefunguka na kusema Hana mpango wa Kufa na sasa hivyo wazushaji wasubiri
sanaa.
0 comments:
Post a Comment