Tuesday, June 18, 2013

BAADA YA TAIFA STARS KUFUNGWA NA IVORY COAST JUZI MWINYI KAZI MOTO AMESEMA HAYA


Tunashukuru kwa support yenu jana (Juzi) mlitushangilia sana na sie tulijitahidi kadri ya uwezo wetu bt nazani uzoefu ndo ulituangusha,,

Nashukuru pia kwa muda wote kua nyuma yangu siku zote japo nlipitia wakati mgumu siku za karibuni,,,

Nazani ntakua kwenye kiwango changu cha kawaider

Maneno haya yamemtoka mwinyi Kazi Moto baada ya Timu yetu ya Taifa baada ya Ivory Coast kutulaza kwa Gori 4-2 tukiwa nyumbani kwetu,mechi ya hiyo ilichezwa Juzi katika uwanja wa Uwanja wa Taifa iliigiza kiasi cha MIL.500 za Kitanzania.














0 comments:

Post a Comment