Ile
kesi inayomkabili mwadada lady jaydee imepigwa karenda na kupangwa
tena siku ya Alhamisi ya Tarehe 13 June mida ya saa tano asubuhi kwa
mantiki hiyo bado Lady jaydee hapaswi kuzungumza jambo lolote juu ya
watu waliomfungulia kesi hiyo mpaka siku Mahakama itapotoa tamko.
Kitendop
cha Kesi hiyo kusogezwa mbele kwa namna moja kunampa nafasi
Mwanamuziki Jaydee kujipanga vizuri kwa show yake ya Mika kumi na
tatu ya Muziki itayofanyika katika Nyumba Lounge siku ya Ijumaa hii
na kutumbuizwa na wasanii kama Prof JAY,Juma nature na wengine ambao
itakuwa ni Suprize kwa siku hiyo.
Lakini
mbali na hilo mwanamuziki huyo nguli katika tasnia ya Bongo Fleva
ameonesha kukukatishwa tamaa na mtu wake wa karibu ambae kwa madai
yake amesema amemgeuka leo
“Tulikuwa
km kaka na dada, very close kuliko mtu yoyote. Leo umenigeuka?? Okay
basi sawa”
0 comments:
Post a Comment