Friday, April 12, 2013

WAFUMWA WAKINANIIIIIIIII BARABARANI


Wapenzi wawili ambao ni Raia wa Austraria wamepigwa picha wakiwa wanafanya mapenzi barabarani,picha hiyo imepigwa kutumia mtandao wa Google Maps.

Lakini kwa mujibu wa mtandao huffingtonpost.co.uk na vyanzo vingine vya habari vimesema kuwa wapenzi hao walikuwa wakifanya Fake sex baada ya kuona vyanzo vya Google vikikatisha barabarani huku vikipiga picha na wao ndipo walipokwenda mbele ya Gari lao nakujifanya kama wanafanya mapenzi wakijua kuwa lazima wangewapiga picha.

“Akizungumza mwanaume huyo alisema kuwa aliliona gari la Google likiwa barabarani likiendelwea kuchukua matukio anasema aliongeza speed ya gari lake na kufanikiwa kuwa overtake na kwenda kupaki mbele na kufanya tukio la kuigiza mapenzi huku akiwa na beer mkononi”

0 comments:

Post a Comment