Msanii
wa Muziki wa Hip Hop Chiddy Benz alimarufu kwa jina la chuma kutoka
pande za Ilala amemuenzi msanii Mangwear kwa kutengeneza wimbo
maarumu kwa ajiri ya Mangwear aliefariki juzi huko South Africa.
Wimbo
huo wa chiddy benz unaokwenda kwa jina la R.I.P Ngwear ametengeneza
kwa Produza Mbezi kwa mujibu wa Mbezi amesema kuwa wakati
wakitengeneza Wimbo huo msanii Chiddy Benz alitokwa na machozi wakati
wakiwa wanafanya Wimbo huo kutokana na kuifanya ngoma hiyo kwa hisia
kali.
Chiddy
amewaenzi marehemu wengine katka ngoma hiyo akiwemo
Bikidude,Kanumba,Sharomilionea,Produza Roy,John Mjema.Sajuki,Steve 2
K,John Mjema,Viviana na Complex bila kuwasahau wanasiasa akiwemo
Julius Nyerere na Sokoine Mungu alaze Pema Peponi za Marehemu wote
waliotutangulia mbele za Haki.
0 comments:
Post a Comment