Viongozi na wanachama wa chadema nchini UK
wanakutana jumamosi hii katika ukumbi wa The Re London Shoreditch Hotel
watapofanya mkutano wa uchaguzi wa tawi la Chadema Nchini humo.
Mgeni rasmi katika mkutano huo ni mbunge wa
Ubungo Mhe.John Mnyika na atasimamia zoezi zima la uchaguzi wa viongozi wa
chadema katika tawi la Uk uchaguzi huo umefikia kutokana na mabadiliko ya
kiuongozi yaliyofanyika mwishoni mwa
mwaka jana 2012.
Mbali na uwepo wa Mnyika Balozi wa tanzani
nchini londoni uingereza amekalibishwa kwenye mkutano wa huo nchini humo kama
muwakilishi wa watanzania na serikali ya tanzania katika mkutano.
0 comments:
Post a Comment