KATIBU
MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO DR WILLBOARD SLAA AMESEMA KUWA BUNGE
LA TANZANIA LINAWACHOKOZA .
![]() |
Dr slaa |
KUFUATIA
HALI HIYO DR SLAA AMEMWAGIZA TUNDU LISSU KWA NIABA YA KIONGOZI WA KAMBI YA
UPINZANI BUNGENI FREMAN MBOWE KUMUANDIKIA BARUA KUKATAA NA PIA KUHOJI UHALALI
WA KAMATI KUENDELEA NA KAZI IKIWA MUDA WA KAZI ULISHAPITA.
KAMATI
YA HAKI,KINGA NA MAADILI YA BUNGE ILIUNDWA KUFUATIA FUJO ZILIZO TOKEA BUNGENI
FEBRUARY 4 MWAKA HUU NA KAMATI HIYO ILIKUWA CHINI YA BRIGEDIA MSTAAFU HASSANI
NGWILIZI WA CCM.
0 comments:
Post a Comment