Tuesday, April 1, 2014

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO ULIOFANYWA NA WASANII WAKUBWA WA AFRIKA AKIWEPO AY PAMOJA NA DIAMOND PLATNUM

Pata nafasi ya kusikiliza na ku download Wimbo uliofanywa na wasaniii wa
Africa wakiwemo D Banj,AY,Diamond Platnum na wengine kibao kutokan bara la Afrika,wimbo huo umezungumzia muasuala ya kilimo katika zaidi ya lugha kumi na kitu ikiwepo lugha ya Kiswahili iliyoimbwa na AY Pamoja na Diamond Palnum

0 comments:

Post a Comment