Monday, February 24, 2014

TETEMESHA KUMTOA BARAKA DA PRINCE

Tetemesha Entertainment kupitia Tetemesha Records studio ambayo awali ilikuwa mwanza na kufanikiwa kuwatoa wakali kama Hussein Machozi,Sajna wa Iveta pamoja na C – Sir Madini ipo mbioni
kumtambulisha msanii mwingine mkali kutoka Mwanza ambae anakwenda kwa jina la Baraka De Prince ambae anasauti kali ya uimbaji.



Uongozi wa Tetemesha Records umesema kuwa kwa sasa upo teyari kumtambulisha msanii huyo mpya kwa kuachia Audia pamoja na Video ambayo imefanywa na Director Nisher kutoka Arusha.







0 comments:

Post a Comment