Wednesday, February 26, 2014

HUYU NDIE DAKTARI FEKI ALIYEKAMATWA JANA MUHIMBILI TAZAMA PICHA ZAKE MBALIMBALI HAPA

Mtu mmoja amekamatwa na maofisa usalama wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa tuhuma za kuwatapeli watu mbalimbali wakiwamo wagonjwa kwa kujifanya ni daktari.

Akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo jana, Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa MNH, Aminieli Eligaesha alisema kukamatwa kwa mtu huyo kunafuatia mtego uliowekwa na uongozi wa hospitali baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema juu ya vitendo vyake.





0 comments:

Post a Comment