Monday, February 10, 2014

QUICK ROCKA KURUDI NA PENZI VALENTINE DAY

Msanii Quick Rocka ambaye ametamba mwaka jana na wimbo wake My baby aliyokuwa ameshirikisha marehemu Albert Mangwear anarudi na Penzi lililopikwa na Manecky.
Quick Rocka anataraji kuachia wimbo wake huo mpya siku ya Valentine Day Ijumaa hii ambao amempa shavu Msanii Ben Pol na kupikwa na produza Manecky katika studio ya Am Records ambayo kwa sasa imeshatema Hits kadhaa kali kwa mwaka huu ikiwa ni pamoja na ngoma ya Hemedy na Gerry ,Ommy dimpoz Miss Koikoi.


0 comments:

Post a Comment