Monday, February 17, 2014

JUMA NATURE NA LADY JAYDEE WAFANYA KAMA JANA

Wasanii wakongwe katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva Juma Kassim Nature pamoja na mwadada Lady Jaydee wamefanya ngoma inayokwenda kwa jina la Kama Jana ambayo imetengenezwa katika studio za Halisi Records. Isikilize na kudowload hapa

0 comments:

Post a Comment