Mashabiki
wa timu ya Mbeya City wamebadili mpangilio wa mechi ya kurushwa Live
katika Television ya Azam,kwa mujibu wa utaratibu wa awali kulipaswa
kurushwa kwa mechi kati ya Azam FC na Rhino.
Lakini
kutokana na maombi ya mashabiki wa Mbeya City wamefanya mpangilio huo
kuvurugika na kurushwa kwa mechi kati ya Ruvu Shooting na Mbeya City
itakayorushwa leo jioni.
0 comments:
Post a Comment