Baada
ya Klabu ya Yangakumrudisha kiungo wa ulinzi Athuman Idd Athuman
alimaarufu kama Chuji baada ya kuomba msamaha kutokana na kuonesha
utovu
wa nidhamu mwishoni mwa mwaka jana leo Chuji ataungana na
wenzake kuikabili Coastal Union ya Tanga.
Baada
ya kuandika barua kwa uongozi kuomba msamaha, Chuji alipewa onyo kali
na uongozi na kupewa kipindi cha matazamio ambapo kwa kipindi cha
mwezi mmoja ameonekana kubadilika na kurejea katika nidhamu ya hali
ya juu ndani na nje ya uwanja.
Katika
mechi hiyo ambayo itapigwa katika uwanja wa Mkwakwani.kiingilio
kuitazama mechi hiyo
VIP
Tshs 15,000/=
Popular Tshs 5,000/=
Popular Tshs 5,000/=
0 comments:
Post a Comment