Sunday, February 2, 2014

HAWA NDIO WASANII WA BONGO MOVIE WALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

Baadhi ya wasanii wa bongo movies nchini,jana wametangaza rasmi kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM), wasanii hao ni

1.Single mtamalike (Richie)
2. Jacob Stephen (JB)
3. Blandina Chagula ( Johari)
4. Irene Uwoya
5. Wastara Juma
6. Mboto,
7. Amada
8. Haji Adam (Baba Haji)

0 comments:

Post a Comment