Monday, December 23, 2013

YANGA YAMTIMUA KOCHA ERNIE BRANDTS

Uongozi wa Yanga Umesitisha mkataba wake na Aliyekuwa kocha Mkuu wa
Kikosi Hicho baada ya Timu hiyo kupokea Kichapo cha Mabao 3 -1 kutoka kwa watani wake Simba.

0 comments:

Post a Comment