Kundi
la Yakuza Mobb kutoka pande za Manzese ambalo kipindi cha nyuma
lilitamba na Hits Song Kibao kama Hafagiliwi Mtu,Usiogope ambayo
alipewa
Shavu Rais wa Manzese Ney wa Mitego wakali hao kwa sasa wapo
wanatengeneza Video ya Wimbo wao Mpya ambao wanatarajia kurudi nao
katika Game siku za Usoni.







0 comments:
Post a Comment