Produza
ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la
Bashasha aliyempa Shavu Vanessa Mdee katika Ngoma hilo Bob Junior kwa
sasa anafanya kazi na King wa Ilala Chid Benzi Chuma na mkali wa
Mianguko katika Studio za Sharobaro Records.
Kwa
Mujibu wa Chid Benz amedai kuwa Mwaka huu lazima kieleweke na kama
hujawai kuona Tembo akichinjwa kwa Wembe basi usibili Hii Suprise
Kubwa inayowakutanisha wakali hawa ambao wanatofautiana na aina ya
KAZI wazifanyazo.
“Niko
Studio nafanya upishi wa kukaangiza na kuchoma.kuku moshi, vuta kiti”
aliongeza kwa kusema kusema kuwa
“Mwaka
huu anachinjika Tembo kwa kiwembe.bob jr sharobeenggzzz...funny.”
Hiii kwangu ni Suprise
maana nishazoea kusikia Mikono ya Bob Junior Ikifanya kazi zaidi za
Kuimba kuliko hata zile Ngumu Nyeusi wakati Mkali wa Ilala pia ni
mzee wa Ngumu Nyeusi so Tegemea Utofauti Mkubwa wa Watu hawa katika
kazi hii itakayofuata.







0 comments:
Post a Comment