Msaniii
Bora wa Kike aliyejizolea umaarufu mkubwa Tanzania kwa Style yake
Mpya ya Annaconda na kufanikiwa kupata mafanikio Makubwa kutokana na
Uwezo wake wa kupiga kazi na kutoa Hits Song zinazowabamba na
kukonga Mioyo ya Wana Afrika Mashariki ameibiwa Pesa.
Msanii
huyo ametiririka Katika Mtandao wake wa Twitter amesema kiasi
alichoibiwa ni Laki Tatu na sitini ya kitanzania ambayo anadai
inamuuma hata kama ni kidogo kwa kuwa ni yake na aliitafuta kwa
jasho.
“Nimeibiwa
laki tatu na sitini, inaniuma sana. Hata kama ni kidogo lakini ni
yangu aiseeeee!!
Mwanadada
aliyemvumbua Yahaya na kumleta katika Masikio ya watu wengi na Macho
pia alitoa laana kwa Mwizi aliyepiga tukio hilo kwa maneno hayaaa
“Alaaniwe
huyo mwizi na impalie asiifaidi'






0 comments:
Post a Comment